Anataka nimpe ujauzito japo bado sijamuoa yupo kwao

Anataka nimpe ujauzito japo bado sijamuoa yupo kwao

Usikubali ikiwa huna plan za kuja kuishi nae.. Huwa yanaongea hivyo tu then yanakuja tumia mtoto/watoto kama leverage
 
Hana akili huyo, anawaza kwa hisia na sio akili.

Ukioa siku ukimpiga tukio hawachelewagi kukutoa uhai hao.

Naogopaga sana mwanamke anaewaza kwa hisia na sio akili.

Ni wachache mno mno wanaowaza kwa akili zao bila kuendeshwa na hisia.
 
Kwa wamakonde kuzaa nyumbn mtoto wa kwanza n kawaida then si watu wamatumiz sana

Ila kama umri wake upo 27+ mmimbe tuu
 
ajichanganye akajionee mwenyewe
Kuna msela wangu mmoja hapa job ni mhanga wa hao jamaa wakuitwa ustawi,kabla ya hapo yule demu alimtaarifu kabisa kwamba anaenda ustawi,mwamba akavimba ununda si unajua..sasa hivi mwana kakubali mwenyewe wahuni wanakata mshahara juu kwa ju..na demu kashaolewa na mwamba mwingine,Kuna siku nilikutana naye kitaa anasema ile hela anayochukua anatumia kulipa Kodi..Kwa hiyo automatically msela anawalipia Kodi demu na jamaa yake🤣🤣🤣

Ndo mwanzo wa kuwaelewa hao jamaa ni watu wa namna gani
 
Kama ni pisi Kali chukua weka ndani!!

Kama huna malengo nae mwache KABISA!!


"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Back
Top Bottom