Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Ajichanganye akajionee mwenyeweπ€£π€£π€£π€£π€£π π π€£
HA HA HA
Kuna msela wangu mmoja hapa job ni mhanga wa hao jamaa wakuitwa ustawi,kabla ya hapo yule demu alimtaarifu kabisa kwamba anaenda ustawi,mwamba akavimba ununda si unajua..sasa hivi mwana kakubali mwenyewe wahuni wanakata mshahara juu kwa ju..na demu kashaolewa na mwamba mwingine,Kuna siku nilikutana naye kitaa anasema ile hela anayochukua anatumia kulipa Kodi..Kwa hiyo automatically msela anawalipia Kodi demu na jamaa yakeπ€£π€£π€£ajichanganye akajionee mwenyewe