Anataka nimuoe, nahisi wameniunganisha naye

kumbe wenzetu mnaongea na mungu na hamtuambii?
MUNGU anongea na watu,,sema wengi hatuzingatii wala kuisikia na kuelewa,,Kupitia mawazo,Sauti,watu n.k tatizo lipo kwetu,,mfano unaweza ukachelewa usafiri ukalaumu halafu baadae unasikia limepata ajali,,unafikiri ni weww ndo umeepusha? Ishi maisha ya kumpendeza MUNGU utaanza kusikia Sauti yake ,,Barikiwa.
 
kiazi wee
 
Dalili za kishoga hizo
 
Ni mfanyakazi wa ndani (Mhaya).
Dada wa nyumba ile alikuita (mazungumzo yakafanyika).
Wazazi wake wanamtaka aolewe.

Mambo ni mengi
 
Huwa nashangaa wale wanawake Wenye kauli mbiu "lazima tutest mitambo Kwanza au tupimane Kwanza" ...naona kijana hapa ndo aliokumbana nao huko kanisan
Unashangaa nini sasa?unataka kununua mbuzi kwenye Kiroba?ngoja uolewe halafu ukute mzee umeme hauwaki
 
Huwa nashangaa wale wanawake Wenye kauli mbiu "lazima tutest mitambo Kwanza au tupimane Kwanza" ...naona kijana hapa ndo aliokumbana nao huko kanisan
Tatizo jinsia zimeongezeka ndio maana wanataka waprove kwanza.
 
BIN Shaib mlokole, basi sawa
mlokole unakuwaje na jina bandia, yaani unatudanganya jina, yaani wewe ni muongo
 
Unavaaga suruali za vitambaa na shati za mikono mirefu unachomekea
 
SEMA UMEOKOKA SIYO MLOKOLE
ameokoka?
aliyeokoka ni yule ambae kamaliza safari.....

huyu alitakiwa kusema "yeye ni mwanafunzi wa Yesu" a.k.a mkristo...... (sema siku hizi hata wasio wanafunzi wanajiita wakristo),

kwenye biblia hatuna walokole, tuna waamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ