Anataka nimuoe, nahisi wameniunganisha naye

Ila walokole mna mbwembwe. Papuchi ushaichakata kipindi cha kumshauri ahame kanisa ila kusikia ndoa unajifanya una aibu.
 
Endelea kutunza uvulana wako mpaka pale utakapompata mwenzi sahihi na chaguo la moyo wako….
 
Bado hujakua na akili hako bado haijakomaa hivyo kwa Sasa usifanye maamuzi yote endelea kumtumikia Mungu kiroho zaidi, Hadi utakapokua tayari kutumika kimwili pia.
 
Samahani mkuu nilivyoona tu "NI MLOKOLE NASALI...."😁

Sijaendelea kabisa kusoma uzi my subconcious mind automatically imeskip uzi
 
Lengo kuu hapa ni kutaka tu kutuaminisha Walokole mna misimamo thabiti! Ila ukija kwenye uhalisia, mambo ni tofauti kabisa.
 
Omba Mungu, akufunulie kwa habari ya T kama alivyokufunulia kwa hao wasichana wengine. Kosea vyote ila usikosee kuoa, hivyo usikubali kushawishiwa na watu kuandamana na mtu ambaye moyo wako hauko kwake.
Ahsantee mkuu ,,barikiwaa saaana
 
Una matatizo makubwa Sana jitibu kwanza ndio uoe la sivyo utakuja kuikumbuka hii comenti yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…