Anataka nimuoe, nahisi wameniunganisha naye

Omba Sana usije kuingia majaribuni
 
ameokoka?
aliyeokoka ni yule ambae kamaliza safari.....

huyu alitakiwa kusema "yeye ni mwanafunzi wa Yesu" a.k.a mkristo...... (sema siku hizi hata wasio wanafunzi wanajiita wakristo),

kwenye biblia hatuna walokole, tuna waamini
Wewe ni muumini wa dhehebu gani lazima uwe na utambulisho kiongozi,,,kuna wasabato,waislam,wabudha n.k huo ndo utambulisho tulionao usipotoshe watu
 
MOYO WANGU haujafunguka kabisa juu yake nifanyeje?
Mbona tayari jibu umeshapata,kama moyo haujafunguka maana yake huyo siyo mke wako hutakiwi kumuoa,na ukilazimisha kuufungua moyo wako ambao haujafunguka ukamuoa huyo binti ujue kuwa umefungua matatizo kwenye ndoa yako tarajiwa,kwenye suala la kuoa na kuolewa mioyo yenu wote wawili inatakiwa iwe imefunguka.
 
Tangazo la kimkakati. Mlokole ashindwe kuomba ushauri kwa mchungaji na wazee wa kanisa, aje kuomba jf? Huu ni mtego kwa wadada wapenda "God fears men."
 
jichanganye, hapo unatafutwa na shetani pia jihadhali kubemendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…