Anataka nini huyu

Anataka nini huyu

fungua macho ana mwanamke mwingine huyo au ni mtu aliyeoa

pia anaweza kuwa na mdudu juu yake

mkewe anasafiri ndio anapata muda, alifumaniwa huyo
 
ndio, naishi tandale karibu na local-made seawage system, wala sina hata shida ya perfume, asante mwambie ntampigia kama voda watatoa promosheni

Baiskeli aina ya swala inaweza kukusaidia kwa kausafiri kidogo, mimi natumia baiskeli aina ya Shang-shine
 
Na ukizingatia wamesha achana zaidi ya miezi sita, na dada anaonekana hana mtu mwingine. Kwa hiyo naye ana hamu ya muda mrefu! Tungependa kupata feeback ya hii topic toka kwa huyu dada chimala jamani! Nina mashaka kama atayashinda majaribu!

Mi huwa na mashaka sana pindi dada anapo omba ushauri juu ya mwenzi wake mtaongea hivi lakini akifika kule anawachonganisha akina flani walitaka mm na ww tuachane wabaya sana wale
 
Habari wana Jf,

Mwenzenu nilikuwa na boyfriend, uhusiano wetu ulidumu kama mwaka mmoja hivi, baadae akaniambia tuyaweke mapenzi pembeni na tuwe marafiki wa kawaida tu, kwa kuwa nilimpenda sana sikukubaliana na hilo ombi lake, akazidi kusisitiza kwamba lazima tuwe marafiki , nilimbembeleza sana lakini hakubadili msimamo wake, sikuweza kusitisha mawasiliano na yeye, tumeendelea kuwasiliana kwa zaidi ya miezi 6 bila ya kuwa na mahusiano, sasa jana kanitumia message ati anataka kuja kunitembelea nyumbani na atakaa week nzima, na pia akasema kuanzia hiyo jana simu zangu atakuwa apokei ila atakuwa anapiga yeye tu, Jamani mwenzenu sielewi anakuja kutafuta nini nyumbani kwangu na kwa nini kaniwekea masharti nisimpigie simu

Kwanini mwanaume anadanganya? sababu kubwa moja anataka aendelee kumiliki vyote, without any chenga jamaa ana mke !!
 
Chimala, gi him a break!
Mtupe kuleeeee!
Don b a slave to him they r many out there for dumping his sperms.
 
Ah we wampenda..mhurumie mpe tu mambo! bt utakapoanza kuhara ndio utajua hakustahili kuja hapo
 
Mmh hii thread imenilumbusha mbali kweli.,niliwahi kuwa na demu akaniambia eti hakuna kuduu hadi ndoa, matokeo yake hata hiyo ndoa na mimi hakuipata.,ndio maana waswahili wanasema "kufa na kiu baharini ni uzembe wako"
 
Mmh hii thread imenikumbusha mbali kweli.,niliwahi kuwa na demu akaniambia eti hakuna kuduu hadi ndoa, matokeo yake hata hiyo ndoa na mimi hakuipata.,ndio maana waswahili wanasema "kufa na kiu baharini ni uzembe wako":target::target:
 
Mpendwa nafikiri huyo jamaa anakuzingua.mweleze ukweli kwamba unampenda ila haupo tayari kwa masharti yake na asije kwako na wewe uwe na msimamo usitoke nae out hata akikuomba!kama ni wako Mungu atamgeuza tabia na akirudi mwende kupima kwanza!usiwe mtumwa wakaka wapo wengi wenye kujua maana ya kupendwa!pole sana na jipe moyo yatakwisha
 
Niongeze nini sasa..kazi Kwako Chimala!
 
kuna kitu anaficha,kwa nini awe mtu wa masharti hivyo?
 
Shukrani zangu za dhati ziwafikie wote mliochangia mada hii, nitaufata ushauri wenu

Mungu awalinde na kuwabariki, kwa kifupi jana kanipigia simu anajishaua tu hana lolote la maana,
 
Shukrani zangu za dhati ziwafikie wote mliochangia mada hii, nitaufata ushauri wenu

Mungu awalinde na kuwabariki, kwa kifupi jana kanipigia simu anajishaua tu hana lolote la maana,

chimala, wewe mgawie tu,
wanaume wenyewe wachache, we huoni hilo?
 
hakupendi anataka akuchape 2
alivyokuambia usimpigie simu anamanisha yupo na mtu so waweza pga simu ikaleta balaa thats y atakupigia yeye mazngra yakiwa yanaruhusu
wiki moja t means anataka kalikizo au kule kwake kuna kaugomv kdg so anakuja kuusikilizia kwako
MTIMUE NA USIKUBAL ATA NUKTA MOJA
 
Mi huwa na mashaka sana pindi dada anapo omba ushauri juu ya mwenzi wake mtaongea hivi lakini akifika kule anawachonganisha akina flani walitaka mm na ww tuachane wabaya sana wale

mmh
 
Mmh hii thread imenilumbusha mbali kweli.,niliwahi kuwa na demu akaniambia eti hakuna kuduu hadi ndoa, matokeo yake hata hiyo ndoa na mimi hakuipata.,ndio maana waswahili wanasema "kufa na kiu baharini ni uzembe wako"

Du hiyo kali wataka bata kabla ya ndoa?
 
Habari wana Jf,

Mwenzenu nilikuwa na boyfriend, uhusiano wetu ulidumu kama mwaka mmoja hivi, baadae akaniambia tuyaweke mapenzi pembeni na tuwe marafiki wa kawaida tu, kwa kuwa nilimpenda sana sikukubaliana na hilo ombi lake, akazidi kusisitiza kwamba lazima tuwe marafiki , nilimbembeleza sana lakini hakubadili msimamo wake, sikuweza kusitisha mawasiliano na yeye, tumeendelea kuwasiliana kwa zaidi ya miezi 6 bila ya kuwa na mahusiano, sasa jana kanitumia message ati anataka kuja kunitembelea nyumbani na atakaa week nzima, na pia akasema kuanzia hiyo jana simu zangu atakuwa apokei ila atakuwa anapiga yeye tu, Jamani mwenzenu sielewi anakuja kutafuta nini nyumbani kwangu na kwa nini kaniwekea masharti nisimpigie simu
Haina swali... jamaa ataka tamtam...Umiandaa kitafunio... gwaride la siku tano...mimbalazima!!
 
Back
Top Bottom