mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
ndio, naishi tandale karibu na local-made seawage system, wala sina hata shida ya perfume, asante mwambie ntampigia kama voda watatoa promosheni
Na ukizingatia wamesha achana zaidi ya miezi sita, na dada anaonekana hana mtu mwingine. Kwa hiyo naye ana hamu ya muda mrefu! Tungependa kupata feeback ya hii topic toka kwa huyu dada chimala jamani! Nina mashaka kama atayashinda majaribu!
Habari wana Jf,
Mwenzenu nilikuwa na boyfriend, uhusiano wetu ulidumu kama mwaka mmoja hivi, baadae akaniambia tuyaweke mapenzi pembeni na tuwe marafiki wa kawaida tu, kwa kuwa nilimpenda sana sikukubaliana na hilo ombi lake, akazidi kusisitiza kwamba lazima tuwe marafiki , nilimbembeleza sana lakini hakubadili msimamo wake, sikuweza kusitisha mawasiliano na yeye, tumeendelea kuwasiliana kwa zaidi ya miezi 6 bila ya kuwa na mahusiano, sasa jana kanitumia message ati anataka kuja kunitembelea nyumbani na atakaa week nzima, na pia akasema kuanzia hiyo jana simu zangu atakuwa apokei ila atakuwa anapiga yeye tu, Jamani mwenzenu sielewi anakuja kutafuta nini nyumbani kwangu na kwa nini kaniwekea masharti nisimpigie simu
Shukrani zangu za dhati ziwafikie wote mliochangia mada hii, nitaufata ushauri wenu
Mungu awalinde na kuwabariki, kwa kifupi jana kanipigia simu anajishaua tu hana lolote la maana,
siwezi kumkubali, nilimbembeleza sana kipindi kile ikashindikana, basi tena
Mi huwa na mashaka sana pindi dada anapo omba ushauri juu ya mwenzi wake mtaongea hivi lakini akifika kule anawachonganisha akina flani walitaka mm na ww tuachane wabaya sana wale
wewe susa tu,
wenzio watakula
wanakuangalia tu hapa unavyojishebedua!
Mmh hii thread imenilumbusha mbali kweli.,niliwahi kuwa na demu akaniambia eti hakuna kuduu hadi ndoa, matokeo yake hata hiyo ndoa na mimi hakuipata.,ndio maana waswahili wanasema "kufa na kiu baharini ni uzembe wako"
Haina swali... jamaa ataka tamtam...Umiandaa kitafunio... gwaride la siku tano...mimbalazima!!Habari wana Jf,
Mwenzenu nilikuwa na boyfriend, uhusiano wetu ulidumu kama mwaka mmoja hivi, baadae akaniambia tuyaweke mapenzi pembeni na tuwe marafiki wa kawaida tu, kwa kuwa nilimpenda sana sikukubaliana na hilo ombi lake, akazidi kusisitiza kwamba lazima tuwe marafiki , nilimbembeleza sana lakini hakubadili msimamo wake, sikuweza kusitisha mawasiliano na yeye, tumeendelea kuwasiliana kwa zaidi ya miezi 6 bila ya kuwa na mahusiano, sasa jana kanitumia message ati anataka kuja kunitembelea nyumbani na atakaa week nzima, na pia akasema kuanzia hiyo jana simu zangu atakuwa apokei ila atakuwa anapiga yeye tu, Jamani mwenzenu sielewi anakuja kutafuta nini nyumbani kwangu na kwa nini kaniwekea masharti nisimpigie simu
Haina swali... jamaa ataka tamtam...Umiandaa kitafunio... gwaride la siku tano...mimbalazima!!