Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

Haina shida is okay...penzi Lina prinspo km mbili ivi...penzi linauma napia halifosiwi ivo bac...nadai Mahali yangu 2
 
Kuna mtu zaidi yako ambaye hata nauli alishindwa kumtumia ikabidi mwanamke aombe kwako.
Achana nae
Rudisha mahali
Nenda kwa psychologist, hudhuria sessions.

Ila ipo siku atarudi
 
Hawa ndo wale unasikia kapigwa vis 25 unashangaa imrkuaje kumbe ndo hivi hivi, so hawa watu nimtihani Sana ,sema nivigum kukubaliana na hiii situation but jiaandae kisaikolijia ndo mmesha achana usifoce
 
Pole sana kijana kwa changamoto hio!
Ukitaka urudishiwe mahari yako na gharama zote alizo kugonga hivi sooni akidai anasafiri kwenda kijijini kwa bibi kumbe anakwenda kwa bwana yake wapigie voda ni utapeli huo.

Wapigie vodacom waambie tapeli la mitandao umelidaka upo nalo!
Maana voda jana wamenitumia mimi sms wakidai nikipata namba za tapeli niziripotishe kwao hasa na wewe jamaa langu uliishi na tapeli ndani ya miaka 5 bila kujuwa!
 
Mshukuru Mungu Kwa kukuonesha kuwa uyo siyo mtu sahihi kwako pia muombe Mungu akupe nguvu za kuishi maisha mengine na Mungu atakupatia t ALIYE sahihi kwako
 
Hizi ni threads zinazothitisha kwamba wanaume wanazidi kupungua. Hivi ushauri tutakaokupa hapa Una uhakika na yeye atauchukua km ulivyouchukua wewe!?? Halafu unavyolalamika utadhani kwamba ulipozaliwa tu ulikabidhiwa huyo Malaya, mwanamke ulimkuta siyo bikra, unafikiri hiyo bikira ilitoka akiwa anaendesha baiskeli!?? Kwa nn vijana mnakosa maamuzi Kwa kiwango hiki!?? Huyo siyo mke, tafuta mwanamke wa kuoa. Na usikae kwenye uchumba miezi yote hiyo. Maisha ya uchumba yana usanii mwingi mnoo!!
 
Kwanza shukuru Mungu hata Kwa Hiyo taarifa aliyo Amina kukupa mwenyewe huyo SI Halali Yako ndg, Angekusumbua Muombe akupe maamuzi sahihi katika kipindi hiki
 
Mi nafikiri ukubaliane nae tuu,japo najua unampenda sanaa,,tena utakiwi kumuhuliza chochote wee sema sawa,,,utakuja kunishukuru baadae
 

Kachukue mahari yako
Wala usimuulize chochote. Wala usimlaumu.

Kachukue pesa yako. Kama utahitaji kampani nijuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…