claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 279
- 437
Mwache aende
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui la kufanya? Mungu anakupenda anakuepusha na balaa kwa kujuonesha ishara za wazi kabla hujadumbukia shimoni na wewe bado unang'ang'nia tu.Hello wanajamvi
Mimi ni kijana wa miaka 30, ninaishi mkoa x kikazi.. nimekuwa na mahusiano na mwanamke kwa muda wa miaka 5 tumekuwa tukiishi pamoja, mwaka jana nilikwenda kwao na kutoa mahari.
Mwezi uliopita niliomba likizo moja ya vitu tulivyotarajia kuvifanya kipindi hicho cha likizo ni pamoja na kurudi nyumbani mkoa Y kwa ajili ya kusalimia wazazi na kuweka mipango ya ndoa.
Baada ya kulifikisha swala hili kwa mpenzi wangu yeye aliniomba kuwa aende mara moja kwao mkoa Z kumsalimia bibi yake then baada kama ya siku kama 3 atarudi kuungana na mimi.
Nilimpa ushirikiano wote katika safari yake hiyo pamoja na kufanya shopping, na kumlipia nauli, na kuwa na mipango mingi ya kufanya baada ya yeye kurudi na kuungana na mimi.
Cha kushangaza baada tu ya kufika kwao tu nikaanza kunotice hata pattern ya mawasiliano yamebadilika, hanijulii hali, nikimpigia simu anadai yupo busy. Nikimuuliza atarudi lini hanipi majibu ya uhakika.
Baada ya siku kama nne akanipigia simu kuwa anataka kurudi ila atapitia mkoa T kwa rafiki yake ninayemfahamu before kuja kuungana na mimi na kuniomba nimtumie nauli nikafanya hivyo.
Siku ninayotarajia kuwa atakuwa safarini anakuja kuungana na mimi akanitumia sms kuwa anaumwa sana, baadaye akaniambia kuwa amekosa magari ya kuja huku nilipo, ukimpigia simu hapokei lakini wakati wa jioni nikampata kwenye simu katika kumuuliza kuwa anaendeleaje ana mpango gani na hiyo safari akaniambia kuwa kuna ujumbe amenitumia kwenye simu.. kucheki ule ujumbe alikuwa ameandika kuwa anaona ni wakati umefika wa kumaliza mahusiano yetu.
Hivi sasa hapa nyumbani walikuwa wanamsubiria kwa ajili ya kudiscuss naye kuhusu swala la ndoa na tayari nimekwishalipa mahari kwao.
Hapa nipo kwenye dilema sijui la kufanya nimezungumza na mama yake na yeye anashangaa anajaribu kuwasiliana naye ila hapokei simu zake.
Huyu mpenzi wangu sijawahi kuwa na ugomvi wowote mkubwa tumekuwa tukiishi vizuri tu.
Kama atarudi kugomboa tena mtoto....au amwache mtotoDuuh!
Hata kama wamezaa mahari lazima arudishe
Kama atarudi kugomboa tena mtoto....au amwache mtoto
hao sio viumbe wa kawaida maana ndio kiumbe pekee aliyeongea na Shetani mbashara wamekaa meza moja acha sisi tunayemsoma kwenye vitabu tu 🙌😁Hawa vipepeo sijui wakoje
hisia zimeisha kabla ya ndoa, na mkiingia kwenye ndoa si atakuona nyau kabisaHello wanajamvi
Mimi ni kijana wa miaka 30, ninaishi mkoa x kikazi.. nimekuwa na mahusiano na mwanamke kwa muda wa miaka 5 tumekuwa tukiishi pamoja, mwaka jana nilikwenda kwao na kutoa mahari.
Mwezi uliopita niliomba likizo moja ya vitu tulivyotarajia kuvifanya kipindi hicho cha likizo ni pamoja na kurudi nyumbani mkoa Y kwa ajili ya kusalimia wazazi na kuweka mipango ya ndoa.
Baada ya kulifikisha swala hili kwa mpenzi wangu yeye aliniomba kuwa aende mara moja kwao mkoa Z kumsalimia bibi yake then baada kama ya siku kama 3 atarudi kuungana na mimi.
Nilimpa ushirikiano wote katika safari yake hiyo pamoja na kufanya shopping, na kumlipia nauli, na kuwa na mipango mingi ya kufanya baada ya yeye kurudi na kuungana na mimi.
Cha kushangaza baada tu ya kufika kwao tu nikaanza kunotice hata pattern ya mawasiliano yamebadilika, hanijulii hali, nikimpigia simu anadai yupo busy. Nikimuuliza atarudi lini hanipi majibu ya uhakika.
Baada ya siku kama nne akanipigia simu kuwa anataka kurudi ila atapitia mkoa T kwa rafiki yake ninayemfahamu before kuja kuungana na mimi na kuniomba nimtumie nauli nikafanya hivyo.
Siku ninayotarajia kuwa atakuwa safarini anakuja kuungana na mimi akanitumia sms kuwa anaumwa sana, baadaye akaniambia kuwa amekosa magari ya kuja huku nilipo, ukimpigia simu hapokei lakini wakati wa jioni nikampata kwenye simu katika kumuuliza kuwa anaendeleaje ana mpango gani na hiyo safari akaniambia kuwa kuna ujumbe amenitumia kwenye simu.. kucheki ule ujumbe alikuwa ameandika kuwa anaona ni wakati umefika wa kumaliza mahusiano yetu.
Hivi sasa hapa nyumbani walikuwa wanamsubiria kwa ajili ya kudiscuss naye kuhusu swala la ndoa na tayari nimekwishalipa mahari kwao.
Hapa nipo kwenye dilema sijui la kufanya nimezungumza na mama yake na yeye anashangaa anajaribu kuwasiliana naye ila hapokei simu zake.
Huyu mpenzi wangu sijawahi kuwa na ugomvi wowote mkubwa tumekuwa tukiishi vizuri tu.
Pole sana..piga chini..jipange upyaHello wanajamvi

Vipepeo wanapepea mkuu...Hawa vipepeo sijui wakoje
Andamaneni mkuu, mumsaidie mshkajiKomaa Warudishe Mahari, safari hii hatucheki na mtoto wa mtu...
Mkuu hii story yako km ni kweli BASI hali inatisha...sasa wewe mbona Mwenyezi Mungu anakupenda na ameamua kukufunulia mapema na inatakiwa umshukuru sana Bro ?
imagine ungefunga naye ndoa nini kingetokea mbele ?
Jamaa yangu kaoa kwa ndoa kubwa sana baada ya ndoa Mke kupika hataki,ndani hashishiki,Jamaa akitoka kazini inabidi akatafute chips aje ale na mkewe.
Baada ya miezi miwili ya ndoa Mke alibeba milioni 9 ya Mumewe akatokomea kusikojulikana siku moja Mume anapiga simu ya Mkewe inapokelewa na Njemba nyingine Mume anaambiwa aache ufala na aharakishe talaka ya aliyekua Mkewe yeye hana hadhi ya kuishi na Mke mzuri kama yule.
we mshukuru sana Mwenyezi Mungu piga chini kila kitu kimbia usiangalie nyuma nenda kaanze moja .
Mtoto yupo mahari hairudi nijuavyo...labda mkaroganeAnàacha Mtoto.
Anachohitaji ni mahari yake.
Kuhusu ishu ya mtoto hiyo ni siku nyingine
Mtoto yupo mahari hairudi nijuavyo...labda mkarogane