Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

Acha ubwege wewe,wewe ulikuwa wa akiba pamoja na kutoa mahari.
Piga chini dai chako move on.
 
Bado unamuita "mpenzi wangu"..
 
Kwanza nikupe pole kwa madhira yaliyokusibu.pili nikupongeze inaelekea ww au mama yako anakuombea sana .huyo mwanamke hakufai na hiyo ni ishara kuu wanaopata bahati yako chini ya jua wachache sana.maana hapo ni uhskika analala uchi na mwanaume mwingine.usidai mahali muache kimya kimya .
Ukikaidi kumuacha
1.ukubali kuishi kwa mashaka miezi 9 ya ndoa kuhisi ujauzito si wako .
2.stress ya kupambana kupima dna inqchukuq hadi miaka 2
3.hata mkiingia ndoan jamaa mwenye uwezo wa kumfanya asije kwako pamoja na mahali.basi ataendelea kumla tigo mkiwa ndoan na mkizaa watatu mmoja wake.
4.ameonesha kukutawala maana hata wazqzi wako kisiri hawatamuheshimu milele


Hatma.kaka kupenda hufumba macho hebu kwa hili jiokoe na hilo kahaba sugu.umri wa 30 bado nguvu zote elekeza kutafuta hela.
Wako mtiifu.
The only
 
Na mbwa mshamuita mdada wa watu masikini!! What if jamaa ndio mzinguaji?
Mwl sasa kama jamaa anazingua kwani mbwa wetu hakukataa kupelekwa kwa mahari? Kibaya zaidi naona jamaa ana amini kutakuwa na suluhu…lakini kama atakubali hiyo mbwa basi mbwa zitakuwa zimekutana na kitakachofata kuna mbwa moja italia kilio cha mbwa koko!
 
Mwanangu roho mtakatifu Yu pamoja nawe usiumie ilamukiweza kafuate Mahari au subiri aolewe ukaiweke pingamizi kumvurugua tu huu SI mwaka wa Heri
 
Bahati mbaya sijui kama mtoa mada anajua kuwa kilichomkuta ni bahati nzuri kabisa! Ni kama wale wanaokutana na bahati mwishoni kabisa wa kukata tamaa kabisa!
Kinyume na hapo ndio angekuwa analia kila leo huyu…
 
Kachukue mahari uliyolipa, yote uliyomfanyia hesabu ulishapoteza na umekula hasara.
 
"HATUKUPENDAA KUWA SINGO, (Chuii) HATUKUPENDA KULEWA KILA SIKU, HATUKUPENDA TUITWE MALAYA, HATUKUPENDA ILA ILITOKEA TULIPIGWA NA KITU KIZITO, KITU KIZITO. HATA KAMA ULIMPENDAAA ILA WEW NI MJINGA,, MANA UMETOA MAHALI NA BADO KAKUPA CHA MBAVU MNINGAA, MAPENZ MIAKA MITANO UKASHNDWA MPA MIMBAAAA,, UNAKITU KIZITO"
 
Braza ndoa hua hailazimishwi ni hiari ya mtu kwaiyo huyo bint achana nae ww hama apo unapoishi tafuta bint mwingine uowe alafu usirudie tena kuishi ma KE mda mrefu bila ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…