Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

una haki kurudishiwa mahali na vyote ulivyopeleka kama ni kwa nia ya promise to marry. pia ana haki kukuacha, hapo hajawa mkeo na ndoa huwa haiingiwi bila consent. kwahiyo hapo dai hela yako endelea kutafuta mwingine.
 
Huyo mpenzi wako alikua ana mpenzi wake. Sasa baada ya kupeleka posa, yule mpenzi wake amekasirika sana. Kwahiyo ili mpenzi wako asimuudhi mpenzi wake ameamua kusitisha huo uamuzi haraka.

NB: Muache aende kwa mpenzi wake. Akishakua single mother baada ya kupigwa matukio na huyo mpenzi wake basi atarudi kwako. Ila tambua ataendelea kumegwa na mpenzi wake kama kawa.
 
Mwache aondoke kwa amani ya muumba!! Vitu vizuri havihitaji haraka na ukifanya haraka utakosa baraka!!

Hujui Mungu anakuepusha na zahama gani hapo mbele. Pili

Kuna mambo mengi ya kiswahili huwa yanatokea inapokaribia ndoa hivyo pia usisite kuomba kwa muumba wako kama jambo lina kheri kwako basi kwa uwezo wake afanye litimie, ila kama kuna Shari muombe pia ukuepushe nayo!!

Good morning!!!
 
Mshukuru sana kwa kukupa ukweli na uhalisia then samehe endelea na mambo mengine
 
point to note
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…