Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,744
- 3,020
NEVERAsije akakushawishi huyo mamy
Ndyo maana naku loveNEVER
Hahaha naelewa bibie.Nooooo maandishi tu hayo
Uuuuwiiii[emoji8] [emoji8]Ndyo maana naku love
NashkrHahaha naelewa bibie.
[emoji106]Ningekuelewa zaidi kama ungeongelea kukuacha na kutaka kukurudia tu... HII HABARI YA KUOYESHA FURAHA WAKATI WENZIO WAPO MATATIZONI, ni kwamba huna tofauti na mchawi kasoro tu PENGINE wewe huna vitendea kazi...
NASISITIZA MATUMIZI YA NENO PENGINE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu msamehe, kama atatembea na magoti toka Tz mpaka London.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona sijawahi kukuelewa nyuzi zako unazitoleaga wapi kwani na mimi nikazi copy mana sijawahi anzisha uzi humu.
Mana kila nikiunganisha dots huwa haziunganishiki kabisa.