Anataka turudiane, nimemwambia sina muda mchafu

Anataka turudiane, nimemwambia sina muda mchafu

Mkuu iko hivi kile chuo hakikuwa na sifa hivyo hata yeye hakuwa na sifa ya kuwa mwanachuo na huyo basha wake naye hana sifa ya kufundisha chuo. Hivyo acha tu wapambane na hali zao

nakuonea Huruma..

Unamjua Bashite? hana cheti wala jina halisi...

hii ni bongo... Lolote lawezekana...
 
Mara paap!!! Mkufunzi kapata kazi ana ndinga pia. Kachukua demu wako mwingine[emoji3][emoji3][emoji3]
 
"......
Kwa sasa niko safi kila kitu ninacho dinga lipo gheto malu malu had choon yaan ful ac afu et ndo anataka kurud kwangu "

HAYA MAISHA YA JF RAHA SANA

NAHUJA
Hahahahaaa mkuu nakuona kumbe na wewe umo
 
Ni udhaifu mkubwa kuachwa na binti. Kama mambo yako ni fresh isingekuuma na akitaka kurudiana si unakula na kusepa. Ma X wangu wote niliwaacha mimi na nikitaka kula saa yeyote nakula na wote hawanichukii na siwachukii wanajua haya ni maisha tuu kuna kuachana na kusamehe.
 
nakuonea Huruma..

Unamjua Bashite? hana cheti wala jina halisi...

hii ni bongo... Lolote lawezekana...
Sawa mkuu yeye hata atawin lakin mimi sitak hata kumuona machon pangu
 
Ni udhaifu mkubwa kuachwa na binti. Kama mambo yako ni fresh isingekuuma na akitaka kurudiana si unakula na kusepa. Ma X wangu wote niliwaacha mimi na nikitaka kula saa yeyote nakula na wote hawanichukii na siwachukii wanajua haya ni maisha tuu kuna kuachana na kusamehe.
Bas sawa mkuu lakin mimi kwangu tukiachana ndo bas tena
 
Back
Top Bottom