LIKE
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 4,755
- 9,889
Mkuu iko hivi kile chuo hakikuwa na sifa hivyo hata yeye hakuwa na sifa ya kuwa mwanachuo na huyo basha wake naye hana sifa ya kufundisha chuo. Hivyo acha tu wapambane na hali zao
nakuonea Huruma..
Unamjua Bashite? hana cheti wala jina halisi...
hii ni bongo... Lolote lawezekana...