Anataka turudiane, nimemwambia sina muda mchafu

beira boy umenifurahisha ! aishie zakwe bwana kiasa sasa hv una' malu malu' na ndinga kali ndo amekukumbuka ! achana naye aisee ila usiweke hadharan mali zako jaman mbn unanifanya niwe na kiroho juu juu kuwa nitapokonywa ?????

hizo habar za' malu malu' na ndinga bwana we usiziweke hapa si unaona wanawake wanavyokusumbua pm???
 
Hahahahaaa nimecheka sana kipenz changu
 
Pole xan mkuu kwahay kwa ushauri wang umuacha kma alivyo kuacha yeye bc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…