Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Amerudi analia eeeh
Amerudi analia eeeh
Huruma anatia huruma eeh
Huruma anatia huruma eeh (in chiristian bella music)
Ni manzi mmoja ivi mshamba fulani hivi, ni mzuri lakini sio mkali sana kivile. Alikuwa mtu wangu kama miaka mitatu iliyopita lakini baadaye alinitosa na kunimwaga kama maji baada ya kwenda chuo na huko chuo alipata mshikaji mwingine ambaye ni mkufunzi wa chuo. Hivyo mimi aliniacha kwa kuwa mimi kipindi hicho mambo yangu yaliyumba kidogo.
Kwa sasa niko safi kila kitu ninacho dinga lipo gheto malu malu had chooni yaani full alafu eti ndo anataka kurudi kwangu.
Kisa cha kurudi unajua ni nini wazee yule mama kiboko ya vyuo feki chuo chao kakipiga kufuli hivo yeye pamoja na yule mkufunzi wake kila mtu kajua njia zake na hata sasa yule mkufunzi wake hana kazi.
Hivo ndo eti anataka turudiane
Mimi nimemwambia sina mda mchafukama huo
Asante sana mama Ndalichako
NANYUPU MWENYEWE
LONDON BABY