Anataka tuzae wakati hali yangu bado ngumu

Jaruk

Member
Joined
May 7, 2020
Posts
44
Reaction score
44
Wadau nipeni ushauri

Nina mpenzi wangu ananisisitiza kuwa anataka mtoto na mimi ila ni single mother.

Mimi life langu gumu mbaya, nahisi nitaelemewa na majukumu
 
Sasa si ukachane..hauko tayari kuwa Baba ntoto.
 
Mtoto huja na baraka zake mkuu.. Maisha ni haya haya..
 
Uoga wa maisha tu huo
Hata wewe hujui ya kesho kwa nini ukatae baraka hizo?
Oa kabisa na uzae wengi tu na riziki itakuja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…