J Jaruk Member Joined May 7, 2020 Posts 44 Reaction score 44 May 12, 2020 #1 Wadau nipeni ushauri Nina mpenzi wangu ananisisitiza kuwa anataka mtoto na mimi ila ni single mother. Mimi life langu gumu mbaya, nahisi nitaelemewa na majukumu
Wadau nipeni ushauri Nina mpenzi wangu ananisisitiza kuwa anataka mtoto na mimi ila ni single mother. Mimi life langu gumu mbaya, nahisi nitaelemewa na majukumu
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 May 12, 2020 #2 Sasa si ukachane..hauko tayari kuwa Baba ntoto.
Boeing 747 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2018 Posts 3,515 Reaction score 9,415 May 12, 2020 #3 Kama ana tako hamna shida, we mpatie mtoto tu
FirstClass JF-Expert Member Joined Dec 29, 2016 Posts 1,100 Reaction score 1,363 May 12, 2020 #4 Mtoto huja na baraka zake mkuu.. Maisha ni haya haya..
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 May 13, 2020 #5 Uoga wa maisha tu huo Hata wewe hujui ya kesho kwa nini ukatae baraka hizo? Oa kabisa na uzae wengi tu na riziki itakuja tu
Uoga wa maisha tu huo Hata wewe hujui ya kesho kwa nini ukatae baraka hizo? Oa kabisa na uzae wengi tu na riziki itakuja tu