Anataka wamzibue mtoto masiko.


Nasikia shingo mdebwedo hutibwa kwa kupigwa na kichwa cha chini.
 
Tembea uone,haya kila siku ya maisha haya yangu nipo darasani ama kweli maisha ni safari,
 
sielewi jamani naombeni kueleweshwa zaidi
 
ahaaahaaaaa mbavu zangu jamani nilikuwa napita tu ikabidi nisimame nisikilize.

Kinachokusimamisha nini tena ? Na we ushadai wapita ? Na hapa unamsikia Kongosho yuko serious anaomba mzibuo, kabla mzibuliwaji haja'afiki mazibuzi yawe wapi we umesimama! Umbeya acha ! We songesha mbele waache wazibuanaji wazibuane.
 
Hiyo ni lugha ya kikubwa! Nenda jukwaa la wakubwa utakuta mambo hayo. au tembelea www.dinahouciusblogspot.com utapata majibu kule. Kifupi mkiwa ndani ya ndoa mzee anataka mchezo hivyo anatumia lugha hiyo. kama ni nje ya ndoa tunaita kubemenda.
 
Mweh! Ngoja nitafute chumba uswazi, inaelekea napitwa na mengi.

Gliter ! Umri huo hujui mazibuzi ! Wan'tia aibu ! Basi jifunze leo ! Ili huko mbeleni usijen'tia tena aibu! Ushan'fahamu ?
Uswazi wana-wa-nchi wanazibuanaje !
 
Kwenye style inahusika katika uzibuaji

Nadhani hapa katika hili style za kiutu uzima za kinidhamu zitahitajika. Ila kule kwenye kubumunda sijui wenyewe mwaita kubendame hakuhitajiki style! Huku ni bomoa kama afanyavyo Magufuli akishazilipa nyumba kando ya barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…