TaiJike
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 1,482
- 668
- Thread starter
- #21
Hiyo wanaisema wakubwa kuwa ni mhimu sana na kama usipofanya hivyo, mtoto shingo yake inaweza isiwe ngumu, inaweza kuwa mdebwedo. kuna wengine wanaamini kuzibua masikio one week baada ya mwanamke kujifungua hasa kama hukupata matatizo ya uzazi. tafuta kwenye profile yangu, utakuta kuna thread ya kuhoji mambo hayo
Nasikia shingo mdebwedo hutibwa kwa kupigwa na kichwa cha chini.