Anatakiwa asubiri siku mbili au zaidi kisha ndiyo aendelee na majukumu yake

Anatakiwa asubiri siku mbili au zaidi kisha ndiyo aendelee na majukumu yake

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjambo nyote?

Mada na elimu hii ni kwa wale wenye hekima peke yake na ndiyo wanakaribishwa kujadili

Anatakiwa kama Amemaliza leo basi ni vema akasubiri angalao siku 2 hadi 3 kabla ya kuendelea kutekeleza majukumu yake ya Kifamilia!

Asubuhi njema ndugu zangu
 
Anatakiwa kama AmemalizA leo basi ni vema akasubiri angalao siku 2 hadi 3 kabla ya kuendelea kutekeleza majukumu yake ya kila siku.
Inategemea na ''mtu na mtu'' kwani wametofautiana pakubwa sana swala hilo linapohusika.
  • Kuna ambao ''ipo kama haipo''
  • Na wengine hua ni zadi ya kawaida inapokuwepo, hivyo hazikwepekeki siku 2 au zaidi.
 
Tuwaze maisha,,

tuwaze bandari kuuzwa

tuwazeee na kufumbua mafumbo ya JF u....nge kabisa.

Sina uhakika ila atakuwa anamanisha
mwanamke akimaliza MP usubirie cku 2 kabla ya kumtafuna.
 
Labda kama mnataka kupata mbegu imara zenye ujazo kutungisha.....lakini kama ni for leasure basi huhitaji dakika kadhaa kuendelea na ulipoishia

Labda afya iwe mgogoro na au mmekinaiana
 
Back
Top Bottom