Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hujaeleweka, unajaribu kusema kitu gani?Wadau hamjambo nyote?
Hii ni kwa wenye hekima pekeyake
Anatakiwa kama amemaliza leo basi anatakiwa asubiri angalao siku 2 hadi 3 kabla ya kuendelea kutekeleza majukumu yake
Asubuhi njema ndugu zangi
Inategemea na ''mtu na mtu'' kwani wametofautiana pakubwa sana swala hilo linapohusika.Anatakiwa kama AmemalizA leo basi ni vema akasubiri angalao siku 2 hadi 3 kabla ya kuendelea kutekeleza majukumu yake ya kila siku.
Endelea kusoma comment utabaini.
Tuwaze maisha,,Inategemea na ''mtu na mtu'' kwani wametofautiana pakubwa sana swala hilo linapohusika.
- Kuna ambao ''ipo kama haipo''
- Na wengine hua ni zadi ya kawaida inapokuwepo, hivyo hazikwepekeki siku 2 au zaidi.