anatakiwa engineer wa ujenzi Dar!!!

anatakiwa engineer wa ujenzi Dar!!!

Njoo ofisini kwetu,kuna watu wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 38 katika fani hii. kwa habari zaidi kuhusu kazi zetu click link below utapata our contacts,na baadhi ya kazi tulizowahi kuzifanya .usijali bei ni maelewano."Good house for Good Price"
Franswill International(T) LTD | Facebook
 
Utaratibu huu wa kibali upo kwenye katiba mpya au ya zamani?
Becouse never hear this at all!
So ata wewe kale kakibanda kako ka geza ulole ulipewa kibali?

ha,ha,ha mkuu kale kakibanda siunajua kapo kwenye skwata,kiwancha nilinunua kwa kupima kwa hatua za miguu.
wapo wanaomilikia kiwanja kisheri,wana hati toka wizarani hao kwenye hati au offer imeeleza matumizi ya kiwanja husika,kama ni nyumb ya makazi na biasha,au biashara pekee au makazi pekee,kama ni kwaajir ya gholofa itakuwa imeandwa.wakati mwingine unakuta unataka kubadil matumizi,unafata taratibu unabadili matumizi.kimsing sheria zipo waz,tukifata sheria na taratibu tunaepuka usumbufu wa kama uliowakuta wenzetu wa madale,ingawa rushwa ndio kikwazo
 
Thanks mkuu.
Ngoja kwanza niangalie kuhusu kibali maana sina HATI.
But pia nilishajenga nyumba moja Dar maeneo ya Kitunda mbona sikua na kibali na hakuna liyekuja kuniuliza kuhusu kibali?inamaana kama ikitokea bomoa bomoa silipwi?

mkuu hivyo tunaviita vibanda.Nyumba harali kisheria ni ile iliyo kwenye planed erea,lina hati au offer ambayo ni hatua ya kwenda kupata hati,ina ramani iliyopitishwa kisheria,ina bulding permit,hadi raha unakuta nyumba ina full fail.anapokuja varuar anapokuja kufanya uthamini wa nyumba ataitaji support ducument kama hzo hapo juu.je wewe unazo?
 
Sina mkuu.
Mie nina HATI ya mauzo tuu!
 
nilitaka kujua hati ya mauzo ana maana ipi ktk eneo lake la ujenzi,i think nimemwelewa kuwa nyaraka za ununuzi ndizo alizonazo.
 
Back
Top Bottom