Utaratibu huu wa kibali upo kwenye katiba mpya au ya zamani?
Becouse never hear this at all!
So ata wewe kale kakibanda kako ka geza ulole ulipewa kibali?
Thanks mkuu.
Ngoja kwanza niangalie kuhusu kibali maana sina HATI.
But pia nilishajenga nyumba moja Dar maeneo ya Kitunda mbona sikua na kibali na hakuna liyekuja kuniuliza kuhusu kibali?inamaana kama ikitokea bomoa bomoa silipwi?
Sina mkuu.mkuu hivyo tunaviita vibanda.Nyumba harali kisheria ni ile iliyo kwenye planed erea,lina hati au offer ambayo ni hatua ya kwenda kupata hati,ina ramani iliyopitishwa kisheria,ina bulding permit,hadi raha unakuta nyumba ina full fail.anapokuja varuar anapokuja kufanya uthamini wa nyumba ataitaji support ducument kama hzo hapo juu.je wewe unazo?
hati ya mauzo ndo kitu gani mkuu