Anatakiwa Msichana wa Stationery & Internet Cafe

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,615
Reaction score
545
Habari wadau,

Anahitajika kwa Haraka msichana wa kufanya kazi Stationery na Internet Cafe

Masharti:
Awe anakaa Arusha (mkazi wa Sakina au jirani na maeneo ya Sakina coz ofisi ipo Sakina)

Awe amepitia Secretarial Courses

Awe na uelewa wa kutosha wa:
Ms Office (Word, Excel, Publisher, Powerpoint....nk..)
Photoshop
Coral Draw au Printing Artist

Awe anajua mambo ya Internet (attachments..storage device, Virus,)

Awe na Typing Speed

Awe anajua kufanya kazi na Scanner, Printers, navifaa vyote vya Secretarial

Mwenye Basic Troubleshooting ya Computer, Printers, Scanner atakuwa na nafasi zaidi

Kwa mawasiliano zaidi ni PM
(Send Private msg upate Contact)

Bolded are considered as Priority!!
 
weka contact zako sasa, watakupaje, yupo mmoja hapa anatafuta kazi na anakidhi vigezo vyote
 
pls contact yako, yupo hapa arusha na ana sifa zote
 
Huenda Darasani ulifeli kwa kutofuata maelekezo...usikubali kurudia kosa hilo katika maisha, nimesema ni-PM (Send Private Msg upate Contact)
 
Inaonesha kuwa haupo siliaz na tangazo lako,acha kuleta mchezo,waache walio siliaz walitumie jukwaa.
 
Unaonyesha kuwa huna shida ya kazi.....ungekuwa nayo ungefuata maelekezo!!
 
Habari wadau,

Anahitajika kwa Haraka msichana wa kufanya kazi Stationery na Internet Cafe

Masharti:
Awe anakaa Arusha (mkazi wa Sakina au jirani na maeneo ya Sakina coz ofisi ipo Sakina)

Awe amepitia Secretarial Courses

Awe na uelewa wa kutosha wa:
Ms Office (Word, Excel, Publisher, Powerpoint....nk..)
Photoshop
Coral Draw au Printing Artist

Awe anajua mambo ya Internet (attachments..storage device, Virus,)

Awe na Typing Speed

Awe anajua kufanya kazi na Scanner, Printers, navifaa vyote vya Secretarial

Mwenye Basic Troubleshooting ya Computer, Printers, Scanner atakuwa na nafasi zaidi

Kwa mawasiliano zaidi ni PM
(Send Private msg upate Contact)

Bolded are considered as Priority!!
this are nonsense advertisements, why cant u be specfic on how a person shuold contact you!? please pay respect to jf as potential web national wise and international
 
Sio kosa lako, vijana wengi Tanzania tumebaki kulalamika tu.... endelea kulalamika wakati mwenzako aliyefuata masharti keshalamba kazi....!!!!
 
Huenda Darasani ulifeli kwa kutofuata maelekezo...usikubali kurudia kosa hilo katika maisha, nimesema ni-PM (Send Private Msg upate Contact)

kama bosi mwenyewe upo hivyo wafanyakazi tutaweza kweli!!
 
yaaaani bosi upo hivyo kwenye matangazo mtu akianza kazi itakuwaje duuu kweli bongo kazi ipo
 
huyu jamaa kakaa ki-sardism sardism, tangazo tu mkali kama nini, na kazini si tutakoma....lol
 
dah kufanya nae kazi itakuwa ngumu hapo tu yuko hivyo hahaha si mchezo ndio ma bosi wetu wa kibongo hao jamani.
 
Back
Top Bottom