Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Kuanzia nioe kusema kweli sina mzuka sana na mademu wa huko nje,
Maana hapa gheto kila muda huwa nachakata kiasi kwamba mbunye kwangu imekuwa kama maji kwenye ndoo Najichotea tu muda wote,
Kuna hii manzi flani hivi ya kirangi, mtoo peee, kajazia nilikutana nae hapa kiwandani kwangu, hiki kiwanda cha kuchakata viazi kuwa chipsi(banda la chipsi,)
Mtoto vile ninavyomuekea udambwi dambwi kwenye chipsi yai naona kazimikia anataka tuwe wapenzi,"kusema kweli hapa kibandani kwangu huwa natongozwa sana na kuwala kimasihara"
Sasa anataka tukutane somewhere sehemu tulivu ya kukaa mimi na yeye tu ili tuweze kukaa, kuongea na kufanya mengine, "hapo kwenye kufanya mengine ndio penye utata,"
Kwa sababu lazima tukifika atataka tufanye mapenzi na mimi binafsi sina mzuka nae,
Kwa kweli ananisumbua sana lakini kila siku huwa nampiga kalenda kwamba niko busy na kuhudumia kiwanda changu cha uchakataji.
ila namtafutia siku nzuri kabisa, ngoja nimsafirishe wife akakae kwao ata siku mbili ili nipate genye ya kumnyandua vizuri huyu mtoto wa kirangi sitaki nimpake pake shombo kivivu.
Cc Zero IQ