Anatamani..

Anatamani..

jamaa aendelee na maisha yake tu.... haya mambo ya kusympathize na kuanza ku-rationalize na kutafuta justification za kurudisha uhusiano na huyo binti zitam-cost big time

Good advice. Thanx
 
Wajamen habari yenu! Naomba niwashirikishe hili jambo ili mnipe mawazo/ushaur wenu. Kuna jamaa yangu alikua na rafiki wa kike, walikua na urafiki tangu primary na urafiki ulianzia kwenye kufundishana kwan jamaa alikua madarasa matatu mbele ya huyo dada kwa hiyo alikua anampigia "tuit" hususan ya hesabu. Jamaa alianza kumpa promis ya kumuoa kwa hiyo alimsisitiza asome kwa bidii ili waje kuwa na familia bora. Kwa bahati nzuri mshkaj alifaulu na kwenda shule boarding mbali na mkoa wao, mawasiliano ya barua (miaka hiyo) yakawa ndiyo kiunganishi kikuu kwao. Jamaa akiwa form 3 dem ndo alikua form 1 kwenye shule ya kata, miaka ikasonga hatimae jamaa akafika university bahati mbaya dem hakufanya vizuri form 4 therefore akaenda ualimu! Kumbuka jamaa hakuwah kumega mzigo so anajua mali bado ni mpya. Temptation za kula "mzigo" zikamnyemelea, lakini kila akiomba anabaniwa na kuambiwa wasubirie ndoa kama ilivyo ahadi yao. Kupenda kubaya, jamaa akatulia! Wakati dem anamaliza college hakumaliza miezi mitatu akajifungua toto la nguvu la kiume. Mshkaji aliumia sana coz yeye alikua bado ni "bikra" akiamini watakuja kuzinduana na "his expected wife". Hapo ikawa total CONFUSION! Akaanza kuwa malaya, mitaa yate ya machangu alijulikana, kidogo angedisco chuo akiwa mwaka wa 4. Baadae akajirudi, akajitambua na ameoa kwa sasa! Yule dem wake wa primary amemtafuta, na anamsumbua sana! Anamwambia anajutia ujinga aliofanya kwan mwanaume aliyezaa nae alikua anamfukuzia mda mrefu but alimwonesha msimamo! Kosa alilofanya alikubali mwaliko wa kwenda nyumbani kwa huyo mwanaume, akachezewa "raf" na kufanyiwa mautundu ya hapa na pale mpaka mwishoni akapata temptation na kujikuta ametoa "tunda". Ndiyo siku hiyo pekee ilimfanya aje kuitwa mama, yaan kubikiriwa na mimba juu!
Moyo wa huruma unamwingia jamaa lakin ameshaoa. Bint anamwambia anaomba awe hata nyumba ndogo yake (hajaolewa mpaka sasa na anasema hataki kuolewa) na hatamsumbua wala kuvunja ndoa yake. NI KISA KIREFU ILA NIMEFUPISHA. Ushauri wenu tafadhali. Binti anasema natamani..natamani..kurudisha siku nyuma ili nijikosoe pale nilipokosea!
if wishes were horses, even beggars would ride..pole yake, antafute mume mwingine..!
 
Asilani siku hazirudi nyuma! Pole yake huyo dada. Mwambie huyo jamaa yako (kama sio wewe maana umeilezea story as if ni wewe kabisa) akigeuka nyuma atakuwa jiwe!
Kuna jamaa alinyimwa ati mpaka wamalize shule! Siku ya siku hakuamini kuwa yule alishakuwa mkubwa tayari!
Akae na familia yake aijenge upya aachane na wazo la kufanya nyumba ndogo! Atakuwa mjinga!
 
huyo jamaa amchukulie kama rafiki tu na amsaidie akiwa na matatizo ki urafiki.ila suala la huyo mama kuwa nyumba ndogo,mbona anazidi kujichimbia?au srtess tu zimemjaa?yeye ana mtoto sasa,kwa nini asi focus na mtoto wake na kujitahidi kujiweka vizuri kimaisha,badala ya kufikiria mwanamme tu
 
Imenigusa..
Ngoja naminiseme yangu kama huyo jomba anaakili timamu asiangaike nae. Atunze familia yake. Huyu mwanamke angekuwa anampenda si angetimiza ahad yake. Kama anahuruma sana amfanye rafiki wa familia lkn c mke mdogo. C alikuacha hakujal maumivu yako, bac usiangalie nyuma atakuumiza tena.
 
huyo jamaa amchukulie kama rafiki tu na amsaidie akiwa na matatizo ki urafiki.ila suala la huyo mama kuwa nyumba ndogo,mbona anazidi kujichimbia?au srtess tu zimemjaa?yeye ana mtoto sasa,kwa nini asi focus na mtoto wake na kujitahidi kujiweka vizuri kimaisha,badala ya kufikiria mwanamme tu

Hakuna urafiki usio kuwa na manufaa atamsaidia ipo siku demu atataka kurudisha fadhira ndo hivyo atamvulia chu*pi
 
Kuimarisha au kuvunja mkuu, naomba ufafanuzi hapo tafadhali

Mkuu ndoa inaimaliki nyumba kubwa inaanza kujituma ipasavyo kwa kila kitu akizubaa wewe unahamia kwenye huduma nzuri
 
How far do you know kama ndoa ya jamaa haipo stable.. Kama mke anakata kiu yako kwa nini uanze kufanya majaribio nje ya ndoa? Kiapo cha ndoa muhimu. Mambo ya nyumba ndogo sio mazuri!
 
si amsamehe tu, yeye alitaka mke au bikra? Hayo makosa yanafanywa na kila binadamu. Shauri la kumchukua kama ni nyumba ndogo ni gumu ikiwa jamaa keshakuwa na family yake, anachoweza kukifanya kama ubinadamu ni kumsaidia huyu dada ajikomboe lakini halazimishwi kurudisha mapenzi ikiwa hayapo tena.

Mimi la nyumba ndogo sishauri..
amsamehe na asiwe tu na kinyongo naye wawe tu marafiki wa kawaida ila asithubutu kumsaliti mke wake akisingizia kosa lililotokea. Maji yakishamwagika hayazoleki na hata ukisema yanazoleka kwa kitambaa au dekio yatabakia machafu tu, na wala hayafai kunywa na tena yamkini yakatia hata kinyaa. Akili kumkichwa ndugu....
 
Thanx for advice
 
Wajamen habari yenu! Naomba niwashirikishe hili jambo ili mnipe mawazo/ushaur wenu. Kuna jamaa yangu alikua na rafiki wa kike, walikua na urafiki tangu primary na urafiki ulianzia kwenye kufundishana kwan jamaa alikua madarasa matatu mbele ya huyo dada kwa hiyo alikua anampigia "tuit" hususan ya hesabu. Jamaa alianza kumpa promis ya kumuoa kwa hiyo alimsisitiza asome kwa bidii ili waje kuwa na familia bora. Kwa bahati nzuri mshkaj alifaulu na kwenda shule boarding mbali na mkoa wao, mawasiliano ya barua (miaka hiyo) yakawa ndiyo kiunganishi kikuu kwao. Jamaa akiwa form 3 dem ndo alikua form 1 kwenye shule ya kata, miaka ikasonga hatimae jamaa akafika university bahati mbaya dem hakufanya vizuri form 4 therefore akaenda ualimu! Kumbuka jamaa hakuwah kumega mzigo so anajua mali bado ni mpya. Temptation za kula "mzigo" zikamnyemelea, lakini kila akiomba anabaniwa na kuambiwa wasubirie ndoa kama ilivyo ahadi yao. Kupenda kubaya, jamaa akatulia! Wakati dem anamaliza college hakumaliza miezi mitatu akajifungua toto la nguvu la kiume. Mshkaji aliumia sana coz yeye alikua bado ni "bikra" akiamini watakuja kuzinduana na "his expected wife". Hapo ikawa total CONFUSION! Akaanza kuwa malaya, mitaa yate ya machangu alijulikana, kidogo angedisco chuo akiwa mwaka wa 4. Baadae akajirudi, akajitambua na ameoa kwa sasa! Yule dem wake wa primary amemtafuta, na anamsumbua sana! Anamwambia anajutia ujinga aliofanya kwan mwanaume aliyezaa nae alikua anamfukuzia mda mrefu but alimwonesha msimamo! Kosa alilofanya alikubali mwaliko wa kwenda nyumbani kwa huyo mwanaume, akachezewa "raf" na kufanyiwa mautundu ya hapa na pale mpaka mwishoni akapata temptation na kujikuta ametoa "tunda". Ndiyo siku hiyo pekee ilimfanya aje kuitwa mama, yaan kubikiriwa na mimba juu!
Moyo wa huruma unamwingia jamaa lakin ameshaoa. Bint anamwambia anaomba awe hata nyumba ndogo yake (hajaolewa mpaka sasa na anasema hataki kuolewa) na hatamsumbua wala kuvunja ndoa yake. NI KISA KIREFU ILA NIMEFUPISHA. Ushauri wenu tafadhali. Binti anasema natamani..natamani..kurudisha siku nyuma ili nijikosoe pale nilipokosea!

Shule za kata zilikuwepo enzi hizo?
 
Km ameshaoa hana budi kuheshimu ndoa yake. Huyo binti hakuwa andiko lake ndo mana obstacle ilikuja btn them. Kila linalomtokea mwanadamu, lina maana yake. So hana haja ya kufungwa na sound za huyo binti. Anatakiwa kuwa na msimamo na kuweza kuusimamia msimamo wake.
 
Huyo jamaa kama hana mpango na familia yake ndo aingie kwenye huo mtego, huyo dada ni bomu aisee!
 
huyo dada usikute anaona jamaa anakula gudtime na family yake anaona wivu,anatamani angekua yeye mkewe mchizi,ampotezee tu.
 
Huyo mwanamke ni mbinafsi balaa. Wakati jamaa anajitunza yeye alikuwa anagawa.. Ameona jamaa ana familia yake analeta usanii eti aligawa mara moja tuu??? Kilichompeleka kwa mwanaume mwingine wakati wameahidiana na huyu kusubiriana ni nini?? Na ajabu bado hajaridhika na maumivu aliyomsababishia mwanzo, anamtengenezea mengine! Mwambie huyo jamaa amwambie amemsamehe ila hataki mawasiliano yoyote na yeye, na amaanishe hivyo. Yaani una mtu unambania hlf unaenda kwa mwingine unampa kila kitu uje udanganye kuwa ilikuwa mara moja tu?! Kwanza unaendaendaje kwa mwanaume mwingine wakati kuna mtu unaye? Ni ulafi, tamaa ya kupata vyote au ni nini?
 
Huyo atamwaribia ndoa yake aachane nae. Nyumba ndogo itafanya kila itakaloweza ili iwe namba moja, hata ikibidi kutumia nguvu za kiza, aache kabisa kuwa na huyo mtu
 
Asante mkuu HP
 
Back
Top Bottom