Anatoka damu wakati ana mimba

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
613
Reaction score
313
Jamani wataalamu nawaombeni msaada mke wa ndugu yangu (shemeji) yuko na mimba mwezi wa 3 tena unakaribia cha kushangaza baazi ya siku anakua anatoka damu hasa asubuhi akiamka ila anakua haioni tena hadi siku ya 2 ama hali hiii hutokea akichchumaliwa na mume wake .
Pia tumbo linamuuma sanakaribu kila siku hadi ni mashaka
Naombeni msaaada kwa ajuaye.
 
Jamani wataalamu nawaombeni msaada mke wa ndugu yangu (shemeji) yuko na mimba mwezi wa 3 tena unakaribia cha kushangaza baazi ya siku anakua anatoka damu hasa asubuhi akiamka ila anakua haioni tena hadi siku ya 2 ama hali hiii hutokea akichchumaliwa na mume wake.

Pia tumbo linamuuma sanakaribu kila siku hadi ni mashaka.

Naombeni msaaada kwa ajuaye.
 
Aende Hospitali akachunguzwe zaidi... ingawa nasikia kuna imani kuwa Watoto wa Kiume Huwa wanasumbua Kiasi Hicho
 
Wapi hospital mana hiyo si dalali nzuri kwa mama kijaa
 
Halafu mwambie kaka asimchuchumalie amwache kwanza wamuone daktari na mambo yakiwa sawa ndio aanze kumchuchumalia
 
Dalili ya kutoka damu wakati mjamzito ni mbaya ni dalili ya kuharibu ujauzito kwahiyo aende hispitol akafanye vipimo vya ujauzito kama mtot yupo salama
 
Mpeleke Regency kwa wataalamu wa akina Mama,itapelekea miscarriage. Uwe na kama laki 120,000. atachomwa sindano 1@40,000.
 
ndomana nawaonea huruma wanaojifunza hii lugha....
Ngumu sana hii kuliko ile ya malkia. Jamaa huyu inabidi atupe maana ya msamiati wake maana kwangu napata picha mbili hapo:
i) chuchumaliwa=kufanya mapenzi
ii) chuchumaliwa=mtu kuchuchumaa karibu na huyo mama mjamzito
 
Wa ndugu nami yng na mke wng 1.. Akishika mimba zinatoka na 2.. Tukiingiliana kitendo cha ndoa mara dam zinamtoka na 3.. Hua hafiki kwa wakati maan namchezea sn lkn hamna kitu... Naombe mawazo yenu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…