Anatoka damu wakati ana mimba

Aende tu hospitali tena awahi kabla mambo hayajaharibika.
 
Ngumu sana hii kuliko ile ya malkia. Jamaa huyu inabidi atupe maana ya msamiati wake maana kwangu napata picha mbili hapo:
i) chuchumaliwa=kufanya mapenzi
ii) chuchumaliwa=mtu kuchuchumaa karibu na huyo mama mjamzito
sentensi kama '' ANATUMIA KIPANDE CHA SABUNI YULE''
inaweza ikakuhamisha mawazo
 
Mpeleke hospatal make dalili hizo si nzuri. Hasa kipimo cha ultrasound chaweza baini tatizo. Kuna kitu kinaitwa (fibroud) kinasumbua sana. Wanawake wajawazito. Uko mkoa gani?
 
Mwambie awahi hospitali.....inawezekana
1. Mimba inatishia kutoka
2. Sch..kama ni brownish
3. Mimba imemfanya awe sensitive aache kuchuchumaliwa.....au achuchumaliwe taratibu
4.mimba imetunga kwenye mrija
N.k
N.k
 
Tena muwaishe hosp akapate ushauli na saa ili afanyaje ili usiweze kujitokeza tena hiyo hali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…