Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sentensi kama '' ANATUMIA KIPANDE CHA SABUNI YULE''Ngumu sana hii kuliko ile ya malkia. Jamaa huyu inabidi atupe maana ya msamiati wake maana kwangu napata picha mbili hapo:
i) chuchumaliwa=kufanya mapenzi
ii) chuchumaliwa=mtu kuchuchumaa karibu na huyo mama mjamzito