Anatumia kigezo cha kunitafutia kazi kumpata dada

Baba Erick

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
483
Reaction score
75
Jamani ushauri wenu ni muhimu.,

Ni rafiki yangu ambaye tumemaliza naye chuo, katika kurupukushani za kutafuta kazi amegundua kuwa kuna boss mmoja ambaye alimhaidi dada yake kuwa atamtafutia kazi kijana. Ila kinachomfumbua ni kuwa yule boss anatumia kama kigezo cha kumtaka dada yake, kimapenzi ile hali ameshaolewa! Kijana anaomba ushauri jamani akache au apotezee apate kazi.
 
mnh utakua upumbaaav yaani dada aachie kisa m kupata kazi
 
Kazi Mbona zipo tu jamani, hakuna haja ya mtu kupoteza utu wake shauri ya kazi. Hivi Muhusika atabakiwa na kumbukumbu gani ktk maisha yake ya hiyo kazi. Pigana Maisha Yapo Tu.
 
Aachane na hiyo kazi mbona kazi ziko nyingi,labda atueleze dada ana interest na jamaa.
 
uvumilivu ni muhimu sana na huyo boss akishamlala atendelea naye mpaka wanakapochokana..huyo dada ajirirahishishe kiasi hicho sababu ya kazi na kushusha heshima ya ndoa yake..kwanza angekuwa dada yangu ningempiga na hata stop ya kwenda job kisha nikamwambia na mume wake ..
 
Kazi ngumu kweli kuzipata., muungadishie tu dada yako.
 
Huyo dada naye akikubali atakuwa kicheche mzoefu.
 
Hii ni kwa mabinti wa masaki waliozoa kuangalia tamthilia za mapenzi. Sio kwa mabinti wa huku Kwetu MARA na MUSOMA.
 

Kama ana nia ya kazi ampeleke tu dada ake ile kitu akila boss haondoki nayo inabaki hapo hapo
 
huyo boss aje kwangu nimuunganishie dada angu anipe kazi.
 
Kukosa ajira kusitufanye tupoteze heshima na utu wetu.
 
dunia hii kila mtu ana yake, ila ya uyo boss nae makubwa, kwani uyo boss yeye hana mke au
 
Kama ana nia ya kazi ampeleke tu dada ake ile kitu akila boss haondoki nayo inabaki hapo hapo

hata akimpa hakuna mkataba wa uhakikisha anadai apewe kazi kama haki
 
Bora usingejua, maadam umegundua nii bora kuacha hiyo kazi coz hata ukiipata hutakuwa naraha nayo ukikumbuka hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…