Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!!..unapojadili jaribu kufikiria wakati mwingine labda kama wewe ndo ungekuwa mumemtu afu mkeo achengwe kwa ajili ya kumtafutia kazi shemejio!!..kama utakubali na hilo..swadakta!!!huu ni mtihani.lakini mimi ningelenga ninachotaka.kwani wangapi wanamchoma bila kumpa hiyo kazi?mia
huu ni mtihani.lakini mimi ningelenga ninachotaka.kwani wangapi wanamchoma bila kumpa hiyo kazi?mia
Duh!!..unapojadili jaribu kufikiria wakati mwingine labda kama wewe ndo ungekuwa mumemtu afu mkeo achengwe kwa ajili ya kumtafutia kazi shemejio!!..kama utakubali na hilo..swadakta!!!
Jamani ushauri wenu ni muhimu.,
Ni rafiki yangu ambaye tumemaliza naye chuo, katika kurupukushani za kutafuta kazi amegundua kuwa kuna boss mmoja ambaye alimhaidi dada yake kuwa atamtafutia kazi kijana. Ila kinachomfumbua ni kuwa yule boss anatumia kama kigezo cha kumtaka dada yake, kimapenzi ile hali ameshaolewa! Kijana anaomba ushauri jamani akache au apotezee apate kazi.
Yaani kumtafutia kazi tu, nilifikiri ameshapata hiyo kazi tena kenye kampuni ya huyo jamaa. Angekuwa anamaanisha kijana angekuwa keshapewa hiyo kazi, stori ingekuwa 'jamaa anamtaka dada yangu kwasababu kanipa kazi kwenye kampuni yake'. Usipoangalia dada yake ataliwa na kazi hakuna.