Anatumia kigezo cha kunitafutia kazi kumpata dada

huu ni mtihani.lakini mimi ningelenga ninachotaka.kwani wangapi wanamchoma bila kumpa hiyo kazi?mia
 
huu ni mtihani.lakini mimi ningelenga ninachotaka.kwani wangapi wanamchoma bila kumpa hiyo kazi?mia
Duh!!..unapojadili jaribu kufikiria wakati mwingine labda kama wewe ndo ungekuwa mumemtu afu mkeo achengwe kwa ajili ya kumtafutia kazi shemejio!!..kama utakubali na hilo..swadakta!!!
 
huu ni mtihani.lakini mimi ningelenga ninachotaka.kwani wangapi wanamchoma bila kumpa hiyo kazi?mia

kaka kweli kazi anataka ila anaumia sana dada yake anatumia mwili kama promo
 
Duh!!..unapojadili jaribu kufikiria wakati mwingine labda kama wewe ndo ungekuwa mumemtu afu mkeo achengwe kwa ajili ya kumtafutia kazi shemejio!!..kama utakubali na hilo..swadakta!!!

cha kusikitisha dogo kashukia kwa shemeji yake
 
hiii ni kesi ya watu wengi mno......

hapo kuwa ni tatizo au sio tatizo inategemeana na dada yako alivyo...

wapo wadada 'kushukuru kwa kutoa mambo' ni culture au habit ndani mwao...

hata huyo bossi asipoomba ,atalengeshewa apewe.....

na kama ni habit ndo hiyo basi .ataliwa tu,kama sio na huyo bossi basi na mwingine..

haijalishi ni kwa ajili ya kukutafutia kazi au la.....
 
Yaani kumtafutia kazi tu, nilifikiri ameshapata hiyo kazi tena kenye kampuni ya huyo jamaa. Angekuwa anamaanisha kijana angekuwa keshapewa hiyo kazi, stori ingekuwa 'jamaa anamtaka dada yangu kwasababu kanipa kazi kwenye kampuni yake'. Usipoangalia dada yake ataliwa na kazi hakuna.
 
ukweli dogo anazungushwa tuu wala ajira hajapata bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…