Wanawake wote niliokwisha wajua, in one way or another, wanatumia s.ex kama negotiation tool, hasa mnapokwaruzana. Hata humu ndani ukifuatilia mabandiko mbali mbali, utaona wanawake wengi wakikili kuwa mme akimboa haoni ndani!
Matokeo: Kubakwa na waume zao, kupigwa, infidelity, ndoa kuvunjika kabisa. Hii ni mojawapo ya matatizo makubwa sana katika ndoa nyingi!
Kwa wanawake walio wengi, sex ni essential kwa ajili ya kumteka mwanamme anayemtaka. Akiona amemboa mwanaume na akajua kweli anamakosa, atamwachia mme ngoma; mwanaume akiigomea ni tatizo kubwa mno. Laikini vile vile kinyume chake vile vile hutokea. Yaani mwanamke akihisi mmewe kamuudhi, hachelewi kuitumia hiyo kama fimbo; na kisingizio ni kile kile anahasira hawezi kufurahia hiyo kitu!!
Ila mara nyingi mbinu hii inashindwa. Kwa sababu ugomvi mwingi ambao mmebalance; yaani wote mmechangia (ugomvi mwingi kwenye ndoa ni wa aina hii) mke atautumia kushinda! Ni magomvi machache sana kwenye ndoa ambapo mmoja anakubali kuwa ndo chanzo, hata kama ukweli ni kinyume chake. Kwa hiyo, mke akishaitumia mbinu hii mara moja au mbili na ikafanikiwa, basi hataacha, hadi hapo atakapopata negative consequenses. Wakati mwingine atakuwa akianzisha viugomvi mbuzi maksudi ili tu aepuke tendo.
Na ukweli ni kuwa wanawake wengi hasa wakishafika kwenye middle ages, sex inakuwa kama kazi. Yaani anaiona sex kama part ya chores na atafanya mbinu hii na ile kuiepuka unless awe anafanya kwa ajili ya kuhonga ili agenda yake iende!! Hapa ndo matatizo kwenye ndoa yanakuwa mengi sana na ndoa nyingi huvunjika hapa.
Hili la sex kutumiwa na wanawake kama negotiation tool ni jambo la ukweli na linatumiwa na almost kila mwanamke; tofauti ni frequency na mazingira. Mwanamke akishabanwa sana, silaha yake ya mwisho ni kuachia tu. Na akihisi hatendewi haki, vile vile silaha yake ni kubana tu!