Abramovic
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 324
- 605
Hi members, kuna jamaa yangu wa karibu anaso SAUT, Mwanza alikua na mahusiano na binti mmoja, so jana amefanya mapenzi na binti huyo na alitumia kinga. Ila baada ya masaa kadhaa akagundua kumbe binti aliyelala nae ni muathirika wa virusi ya UKIMWI. So jamaa yangu japo alitumia kinga lkn bado ana wasiwasi sana, Je ni mazingira gani yanaweza kumfanya akawa ameukwaa na endapo itakua hivyo ni njia gani atumia kuhakikisha virusi hivyo havimdhuru, maana ni siku moja tu imepita tangu alipolala nae....MSAADA please!