Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nenda hospitali haraka kabla ya masaa 72 kawaambie wakupe ARVs kama PEP na baada ya wiki pima kwa kutumia 4th generation test ambayo hutumika hata kwa blood donation utajua hali yako. Lakini kunywa ARVs haraka na angalia faida zake humu mtandaoni. Ila ---- NI HATARI SANAUkimwi haupitii tu huko alikotumia kinga... vipi kama walikiss na kulambana huko chini.. na kama kuna sehemu aliyoigusa na yeye akiwa na mchubuko wowote ule na damu/fluid zikafanya contact atakuwa nao..
Ila kwa uhakika zaidi akapime
ni masaa 72 lakini unatakiwa kuwa jasili kidogo maana dawa zenyewe ni mzigo mzito yaani zinatesa sana na kudhohofisha sana mwili lakini sharti lazima umalize. Lakini pia ukimwi hujionyesha wenyewe ndani ya muda wa siku 3 hadi wiki mbili kwa dalili ziitwazo acute hiv fever ambapo unajisikia flue like fever ambayo pia huisha na kuendelea kama kawaida .huyo dada na yeye muuaji.kuhusu huyo jamaa aende hospitali kubwa asap.kuna dawa unapewa za kuzuia maambukizi kama umetembea na mtu alie athirika.ile isipite masaa sijui 24{kuhusu masaa mangapi yasipite nimesahau}na atatumia hizo dozi.huwa ina saidia.ingawa dawa kama hizo hupewa kwa watu waliobakwa,lakini ni bora aende hospitali watamshauri.before is too late.
ni masaa 72 lakini unatakiwa kuwa jasili kidogo maana dawa zenyewe ni mzigo mzito yaani zinatesa sana na kudhohofisha sana mwili lakini sharti lazima umalize. Lakini pia ukimwi hujionyesha wenyewe ndani ya muda wa siku 3 hadi wiki mbili kwa dalili ziitwazo acute hiv fever ambapo unajisikia flue like fever ambayo pia huisha na kuendelea kama kawaida .
Mapenzi matamu sana lakini ukila penzi kwa aliyeoza unakuwa hatarini sana sipendi kukumbuka sana hali hii