Anauliza kama atakua ameathirika au laa!

Anauliza kama atakua ameathirika au laa!

Mbona una full details? Oh hakuzama, mara mate kwa sana ni dhahiri mhanga ni wewe. Shaka ondoa subiri miezi mi3 ukapime. Kuupata ni rahisi lkn pia ni ngumu.
 
Ukimwi haupitii tu huko alikotumia kinga... vipi kama walikiss na kulambana huko chini.. na kama kuna sehemu aliyoigusa na yeye akiwa na mchubuko wowote ule na damu/fluid zikafanya contact atakuwa nao..

Ila kwa uhakika zaidi akapime
nenda hospitali haraka kabla ya masaa 72 kawaambie wakupe ARVs kama PEP na baada ya wiki pima kwa kutumia 4th generation test ambayo hutumika hata kwa blood donation utajua hali yako. Lakini kunywa ARVs haraka na angalia faida zake humu mtandaoni. Ila ---- NI HATARI SANA
 
huyo dada na yeye muuaji.kuhusu huyo jamaa aende hospitali kubwa asap.kuna dawa unapewa za kuzuia maambukizi kama umetembea na mtu alie athirika.ile isipite masaa sijui 24{kuhusu masaa mangapi yasipite nimesahau}na atatumia hizo dozi.huwa ina saidia.ingawa dawa kama hizo hupewa kwa watu waliobakwa,lakini ni bora aende hospitali watamshauri.before is too late.
ni masaa 72 lakini unatakiwa kuwa jasili kidogo maana dawa zenyewe ni mzigo mzito yaani zinatesa sana na kudhohofisha sana mwili lakini sharti lazima umalize. Lakini pia ukimwi hujionyesha wenyewe ndani ya muda wa siku 3 hadi wiki mbili kwa dalili ziitwazo acute hiv fever ambapo unajisikia flue like fever ambayo pia huisha na kuendelea kama kawaida .
Mapenzi matamu sana lakini ukila penzi kwa aliyeoza unakuwa hatarini sana sipendi kukumbuka sana hali hii
 
hapo ni ww mwenyewe usimsakizie rafiki yako yaani unatudanganya hadi sisi watu wazima.
 
ni masaa 72 lakini unatakiwa kuwa jasili kidogo maana dawa zenyewe ni mzigo mzito yaani zinatesa sana na kudhohofisha sana mwili lakini sharti lazima umalize. Lakini pia ukimwi hujionyesha wenyewe ndani ya muda wa siku 3 hadi wiki mbili kwa dalili ziitwazo acute hiv fever ambapo unajisikia flue like fever ambayo pia huisha na kuendelea kama kawaida .
Mapenzi matamu sana lakini ukila penzi kwa aliyeoza unakuwa hatarini sana sipendi kukumbuka sana hali hii

hizo dawa zinapatikana kwa gharama kiasi gani mdau?
 
Nimeshawahi kufanya mapenzina dem kwenye ngoma sikuupata ugonjwa
 
tuache kutishana kufanya mapenzi na mwathirika siyo lazima upate ukimwi,binafsi nilikuwa na uhusiano na dada mmoja kwa muda wa zaidi ya miaka mitano ,HAKUNA AMBACHO SIJAWAHI KUMFANYIA LABDA SODOMA TU NDO AMBAYO SIJAWAHI KUFANYA,huko uvinza nimeenda sana lakini nimepima, yeye ameathirika mie nipo poa ni mwaka sasa nimeshapima mara sita maeneo tofauti na nilipomuuliza vizuri ameniambia aligundua ameathirika kabla hatujaanza mahusiano na mara zote nilikuwa napiga kavu.Mwache MUNGU aitwe MUNGU.
 
Back
Top Bottom