Hi members, kuna jamaa yangu wa karibu anaso SAUT, Mwanza alikua na mahusiano na binti mmoja, so jana amefanya mapenzi na binti huyo na alitumia kinga. Ila baada ya masaa kadhaa akagundua kumbe binti aliyelala nae ni muathirika wa virusi ya UKIMWI. So jamaa yangu japo alitumia kinga lkn bado ana wasiwasi sana, Je ni mazingira gani yanaweza kumfanya akawa ameukwaa na endapo itakua hivyo ni njia gani atumia kuhakikisha virusi hivyo havimdhuru, maana ni siku moja tu imepita tangu alipolala nae....MSAADA please!
uvinza????Calmdown !
Ikiwa kondom imetumika kwa usahihi
hakuna lolote linaloweza kumpata
Sasa hofu yake ni kwenye nini ikiwa
katumia kondom ?
Zingatia neno Usahihi kwenye matumizi
lakini kama hakuvaa kabisa pia hatakiwi
kuwa na hofu vuta subira miezi 3 ndiyo
unakwenda kupima.
Mtu mwenye ukimwi jua wazi nae anahitaji
mambo yetu haya ila unatakiwa kutumia
Kifanyio(Kondom) kwa usahihi tu.
Ukimwi haupitii tu huko alikotumia kinga... vipi kama walikiss na kulambana huko chini.. na kama kuna sehemu aliyoigusa na yeye akiwa na mchubuko wowote ule na damu/fluid zikafanya contact atakuwa nao..
Ila kwa uhakika zaidi akapime
Calmdown !
Ikiwa kondom imetumika kwa usahihi
hakuna lolote linaloweza kumpata
Sasa hofu yake ni kwenye nini ikiwa
katumia kondom ?
Zingatia neno Usahihi kwenye matumizi
lakini kama hakuvaa kabisa pia hatakiwi
kuwa na hofu vuta subira miezi 3 ndiyo
unakwenda kupima.
Mtu mwenye ukimwi jua wazi nae anahitaji
mambo yetu haya ila unatakiwa kutumia
Kifanyio(Kondom) kwa usahihi tu.
mkuu kwani ukusema ni wewe kitaharibika nini...eniweiz usiwe na wasiwasi kama kondom ilitumika...subiri miezi mitatu then ukapime...ila kwa sasa ni vigumu kujua kama umeathirika au la
jamaa hakuzama chumvini but wasiwasi wake ni kua, 1: walikulana mate sana(denda) na 2: jamaa anadai yule dada alisema anahisi michubuko.