johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama umekuwa mgeni hapa mtaa wa kijani mara hii,hii ni hatari na nusu siku zinakimbia hasaa.Nasikia makamanda wakilitumia sana hili neno kwamba Tundu Lisu " anaupiga mwingi" so kama member mgeni wa hapa Ufipa naomba ufafanuzi wa hii kauli ya Anaupiga Mwingi.
Peoples.........!
Hahahaaaa..... Bwashee Lisu anaupigaje mwingi? Nielimishe TafadhaliKama umekuwa mgeni hapa mtaa wa kijani mara hii,hii ni hatari na nusu siku zinakimbia hasaa.
Mimi pia nasikia kutoka kwako.Hahahaaaa..... Bwashee Lisu anaupigaje mwingi? Nielimishe Tafadhali
Kwahiyo ni mwenyekiti Mwamba?!Tundu Lissu hana uwanja wa kuupigia mwingi.
Basi Bavicha watatuelimisha!Mimi pia nasikia kutoka kwako.
Anae jitolea tasafali.Basi Bavicha watatuelimisha!
Si mama anatekeleza sera zake makamanda walishasema.. vipi mamaa naona anaupiga mwingi kwa hisani ya mbeligijiTundu Lissu hana uwanja wa kuupigia mwingi.
Utakaa muda mrefu sn KatoroNasikia makamanda wakilitumia sana hili neno kwamba Tundu Lisu " anaupiga mwingi" so kama member mgeni wa hapa Ufipa naomba ufafanuzi wa hii kauli ya Anaupiga Mwingi.
Peoples.........!
Una namba ya upopoma hapo Ufipa ?Nasikia makamanda wakilitumia sana hili neno kwamba Tundu Lisu " anaupiga mwingi" so kama member mgeni wa hapa Ufipa naomba ufafanuzi wa hii kauli ya Anaupiga Mwingi.
Peoples.........!
Kuupiga mwingi ni kuizika legacy ya mwendazake kwa kumjengea sanamu la 420m.Nasikia makamanda wakilitumia sana hili neno kwamba Tundu Lisu " anaupiga mwingi" so kama member mgeni wa hapa Ufipa naomba ufafanuzi wa hii kauli ya Anaupiga Mwingi.
Peoples.........!
Alihama na namba ya fisi wakijani aliikabidhi ufipa.Una namba ya upopoma hapo Ufipa ?
ÙmmMnatutoa kwenye reli!