" Anaupiga mwingi" maana yake nini? Mi ni mgeni hapa CHADEMA

Bado tuko nao wafanye wafanyeji tunataka watueleze kikamilifu,uzalendo wanaojaribu kutudanganyia wanao ? Na je dhamira yao kufanya hayo ni ipi na je tukikubaliana nao matokeo tunayotarajia ni yapi? Je wasipo fikia matarajio hayo wanajichagulia adhabu gani?.
 
Mimi nadhani adhabu itakayowafaa ni wakutanguliza ardhini
 
Maana yake anapiga mbungi sana, anakata umeme, asipoutaka anautoa na akiutaka anauchukua
 
Nasikia makamanda wakilitumia sana hili neno kwamba Tundu Lisu " anaupiga mwingi" so kama member mgeni wa hapa Ufipa naomba ufafanuzi wa hii kauli ya Anaupiga Mwingi.

Peoples.........!
Kwamba anafanya watu wote tuongee lugha moja
 
Back
Top Bottom