johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unawajua Wakenya unawasikia? Yaani wawe na chakula cha kutosha waruhusu Watanzania mpeleke mahindi kushindanosha bei?Bajeti ya Serikali ya Kenya 2024/25 imeruhusu mazao ya Kilimo kutoka Tanzania kupata Ushindani wa Haki kwenye Soko la Kenya
Kwa awamu zilizopita pamekuwepo na ugumu kwa wakulima wa Tanzania kuuza mazao yao Kenya
Mungu wa mbinguni awabariki Rais Samia na Rais Ruto
Kamwene ππ
Unabishana na Finance Bill ya Kenya?πΌUnawajua Wakenya unawasikia? Yaani wawe na chakula cha kutosha waruhusu Watanzania mpeleke mahindi kushindanosha bei?
Tunataka bei ya SIMA, Kenya iwe rafiki kwa wakenya wote!, na pia mkenya aweze kununua mahindi akauze Somalia na kwingineko apate pesa!Unawajua Wakenya unawasikia? Yaani wawe na chakula cha kutosha waruhusu Watanzania mpeleke mahindi kushindanosha bei?
Mbona wananunua vitungu Singida, na mchele Malinyi na wanaenda kuuza South Sudan na nchini Kwao. Sasa kipo kilicho badilikaBajeti ya Serikali ya Kenya 2024/25 imeruhusu mazao ya Kilimo kutoka Tanzania kupata Ushindani wa Haki kwenye Soko la Kenya
Kwa awamu zilizopita pamekuwepo na ugumu kwa wakulima wa Tanzania kuuza mazao yao Kenya
Mungu wa mbinguni awabariki Rais Samia na Rais Ruto
Kamwene ππ
Una akili sana ππOverall logic inaangukia kwenye kumpa mkulima bei bora zaidi ya mazao yake!, HONGERA SANA!
Wakenya na wao watafika mahali wataichoka hii serikali yetu inayoyumba kimsimamo, mara wafungue mipaka mara wafunge.....Mkulima aruhusiwe kuuza mazao yake mahali popote mambo ya njaa mtajua wenyewe ninyi msiojua uchungu wa shamba.Bajeti ya Serikali ya Kenya 2024/25 imeruhusu mazao ya Kilimo kutoka Tanzania kupata Ushindani wa Haki kwenye Soko la Kenya
Kwa awamu zilizopita pamekuwepo na ugumu kwa wakulima wa Tanzania kuuza mazao yao Kenya
Mungu wa mbinguni awabariki Rais Samia na Rais Ruto
Kamwene ππ
Lakini watanzania tukiona mahindi yanaondoka sana tusishindwe kuzuia ya kwetu kwa ajili ya chakula chetu, tuuze kwa mizania maalum,bila kusababisha price shakes, ndani ya nchi, that is intelegency! And good leadership!