eddy king
JF-Expert Member
- Apr 1, 2016
- 560
- 1,220
Habari zenu wakuu, kuna mdogo wang moja amekuja kuniomba ushauri nikaona sio mbaya kupata na mawazo yenu tumshauri dogo..
Anafanya kazi na kampuni moja ya ujenzi na anasema anauwezo wa kuweka angalau laki 6 kila mwezi na ameanza kazi sasa ni mwezi wa pili unaelekea wa tatu anasema ana malengo ya kufanya mambo mengine nje ya kazi yake mfano kilimo au biashara sasa yupo njiapanda anajiuliza afanye nini ili kukuza kipato chake na kuacha kutegemea mshahara wake tu ? Mawazo yenu.....