Anauwezo wa kuweka angalau Laki sita kila mwezi anahitaji ushauri.

eddy king

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2016
Posts
560
Reaction score
1,220
Habari zenu wakuu, kuna mdogo wang moja amekuja kuniomba ushauri nikaona sio mbaya kupata na mawazo yenu tumshauri dogo..
Anafanya kazi na kampuni moja ya ujenzi na anasema anauwezo wa kuweka angalau laki 6 kila mwezi na ameanza kazi sasa ni mwezi wa pili unaelekea wa tatu anasema ana malengo ya kufanya mambo mengine nje ya kazi yake mfano kilimo au biashara sasa yupo njiapanda anajiuliza afanye nini ili kukuza kipato chake na kuacha kutegemea mshahara wake tu ? Mawazo yenu.....
 
Mwambie kwanza akupe yeye idea ya kilimo au biashara yake kisha wajuzi watakuja ku challenge mawazo yake na kutoa mbadala. there should be a starting point
 
Asante mkuu, ntamuuliza nilete mrejesho!
 
Habari zenu wakuu, kuna mdogo wang moja amekuja kuniomba ushauri nikaona sio mbaya kupata na mawazo yenu tumshauri dogo..
Anafanya kazi na kampuni moja ya ujenzi na anasema anauwezo wa kuweka angalau laki 6 kila mwezi na ameanza kazi sasa ni mwezi wa pili unaelekea wa tatu anasema ana malengo ya kufanya mambo mengine nje ya kazi yake mfano kilimo au biashara sasa yupo njiapanda anajiuliza afanye nini ili kukuza kipato chake na kuacha kutegemea mshahara wake tu ? Mawazo yenu.....
Afanye uwekezaji
 
Real estate. Atafute shamba kuanzia heka 2. Afanye ufugaji wa wanyama na ndege mbalimbali kama kuku, bata nk, ng'ombe, mbuzi, farasi, kondoo, sungura nk. Pia kilimo cha mazao mbalimbali
Asante sana kwa ushauri wako[emoji106]
 
Back
Top Bottom