Anauzwa. Bei ni maelewano

Duh . . . .
Bado natafakari, ili nichukue hatua.
 
EMT, I want it. Is it still available for sale?
 
...nilijua kameshaMUVUZISHWA kwa wakubwa mana wanapenda hizi!
 
Naomba kujua matumizi yake maana manyoya yake yamenivutia.
 
Naomba kujua matumizi yake maana manyoya yake yamenivutia.
Matumisi yake? just friendship, unacheza nae,
ukiwa nyumbani anakupa company etc.
Hata mimi hiyo fur yake ndio imenivutia!
 
Matumisi yake? just friendship, unacheza nae,
ukiwa nyumbani anakupa company etc.
Hata mimi hiyo fur yake ndio imenivutia!

mnunue nitakuwa nakuazima siku moja moja.
 
mnunue nitakuwa nakuazima siku moja moja.
Ah, mi siwezi kuazima bwana. Ni companion wangu mimi nikuazime tena?
Kama vipi uwe unakuja kunitembelea na kucheza nae hapa hapa home
 
iweke uupupu au pilipili ndio uwauzie ili wakiingiza kule wakome
Kwa nini umpake mbwa uupupu jamani? that is cruel!
Halafu hapo bold sijaelewa vizuri, naomba ufafanue
I really love them... ona huyu alivo lala hapo...
 
huyo kaumbwa kimekosekana punzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…