Anavuma sana kwenye magazeti ya udaku udaku,na kununua tuzo lakini live jukwaani ni 0%

😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
utannua tuzo ngapi mdau?
utawezaje kuhonga kila pahala?
tumia ubongo kufikiri, masaburi unayaonea
 
utannua tuzo ngapi mdau?
utawezaje kuhonga kila pahala?
tumia ubongo kufikiri, masaburi unayaonea
Miezi kadhaa iliyopita walikuwa wana nyimbo za Diamond kuishi nyumba ya kupanga matokeo yake hivi sasa wanalazimika kuficha tupu zao kwa viganja vya mkono kila wanapopita!
 
Miezi kadhaa iliyopita walikuwa wana nyimbo za Diamond kuishi nyumba ya kupanga matokeo yake hivi sasa wanalazimika kuficha tupu zao kwa viganja vya mkono kila wanapopita!
Mi naweza nisiwe mshabiki wa mwanamuziki fulani au fulani, lakini kama anafanya vizuri lazima nimpe sifa zake....Watu wanaendekeza ushabiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…