sanjaelias
Member
- Oct 1, 2015
- 6
- 0
Anaweza fafanu ugonjwa wa myasthenia gravis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo n ugonjwa ambao mwili una reject receivers wa neurotransmitters katika synapse so far i know kwahiyo whenever body releases neurotransmitter they won't do anything hali itayopelekea misuli kua dhaifu......... Kuna dawa nackia hua wanatumia kupunguza hali ya mwili kuzuia kuua receivers za neurotransmitters.. Em ngoja tuwangojee wataalamu zaidi