Anaweza kuelezea faida za muungano aje atuambie. Je Tanganyika ingekosa fursa zipi Kama Zanzibar wangeungana na Kenya?

Ebu tutajie hao maadui basi.

Ukiacha Zanzibar, Tanganyika imepakana na mataifa mengine 8.
Kama hiyo hofu ya usalama ingekuwa ya kweli, ingebidi Tanganyika iungane na mataifa yote 8 ili kuondoa hiyo hatari.

Sababu ya kiusalama ni propaganda tu inayotumiwa kwa hila kuhalalisha muungano usio na tija.

Zanzibar inapata faida nyingi kutokana na muungano. Kwa upande wa Tanganyika, ni hasara tupu
 
SOMA TAARIFA RASMI YA SERIKALI KWENYE KITABU KINACHOITWA
"TAARIFA YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA."
 
Faida 2 za wazi za muungano wetu hizi hapa.
1. Wazanzibari kukosa uhuru wa kujichagulia viongozi wanaowataka..
2. Watanganyika kubaguliwa na kukosa fursa ya kumiliki ardhi kwenye visiwa vya Zanzibar.
 
SOMA TAARIFA RASMI YA SERIKALI KWENYE KITABU KINACHOITWA
"TAARIFA YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA."
Bila hata kusoma , hiyo taarifa ni batili , Hakuna Uhuru wa Tanzania Bara , Sijui kama ndio mnamaanisha Tanganyika au mnayo nchi yenu nyingine .
 
Uzi huu utajaa mautopolo ya kutoka zenji yakiongea urojo urojo tu
 
Hiki kinu mzee,wanapita mwamba wa juu tu
 
Muungano unakomaliwa kudhibiti uislam wa zbar
 
Mawazo ya zamani sana.
 
Faida 2 za wazi za muungano wetu hizi hapa.
1. Wazanzibari kukosa uhuru wa kujichagulia viongozi wanaowataka..
2. Watanganyika kubaguliwa na kukosa fursa ya kumiliki ardhi kwenye visiwa vya Zanzibar.
Faida nyingine ni kwamba Urojo unapatikana hadi Tarime
 
Chukua case study ya Russia Vs Ukraine anayedhaniwa atajiunga NATO

Ni hatari kuwa na rafiki aliye na urafiki na adui yako au mtu yeyote anayeweza kuwa rafiki yake against wewe

Adui wa Tanganyika ni nani ??
 
Wanayopata Wazanzibari ni haya
Huyo Othman muongo mkubwa.
Kwani Znz wanapopewa mabilioni yaliyokopwa na Tanganyika huwa wanalipa?
Tanganyika inabeba mzigo wa kulipa madeni yote!
 
faida ni umoja wetu na kuongeza ukubwa wa eneo la Bahari lililoko Chini ya mamlaka ya Tanzania.
Kwa nini wa Swahili tuheshimu mipaka ya wazungu na kuiabudu Wakati tukiweka mipaka yetu mipya kutwa kucha tunaipinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…