abdulh iddy
Senior Member
- May 28, 2015
- 159
- 6
Habari wana JF kuna dogo langu kamaliza mwaka jana na matokeo yake yakaja, hivi ana credit 2 alafu ana e mbili. Msaada wa kimawazo anaweza pata chuo gani ambacho kinatoa ajira kwa haraka kwa matokeo hayo.
Ahsanteni
Ahsanteni