Anaweza kupata chuo gani kwa matokeo haya?

Anaweza kupata chuo gani kwa matokeo haya?

abdulh iddy

Senior Member
Joined
May 28, 2015
Posts
159
Reaction score
6
Habari wana JF kuna dogo langu kamaliza mwaka jana na matokeo yake yakaja, hivi ana credit 2 alafu ana e mbili. Msaada wa kimawazo anaweza pata chuo gani ambacho kinatoa ajira kwa haraka kwa matokeo hayo.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom