abdulh iddy Senior Member Joined May 28, 2015 Posts 159 Reaction score 6 Jun 14, 2015 #1 Habari wana JF kuna dogo langu kamaliza mwaka jana na matokeo yake yakaja, hivi ana credit 2 alafu ana e mbili. Msaada wa kimawazo anaweza pata chuo gani ambacho kinatoa ajira kwa haraka kwa matokeo hayo. Ahsanteni
Habari wana JF kuna dogo langu kamaliza mwaka jana na matokeo yake yakaja, hivi ana credit 2 alafu ana e mbili. Msaada wa kimawazo anaweza pata chuo gani ambacho kinatoa ajira kwa haraka kwa matokeo hayo. Ahsanteni
trigeminal JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 1,944 Reaction score 2,283 Jun 14, 2015 #2 Za masomo gan.?
abdulh iddy Senior Member Joined May 28, 2015 Posts 159 Reaction score 6 Jun 14, 2015 Thread starter #3 trigeminal said: Za masomo gan.? Click to expand... c-ya kiswahil ,c-ya biology,e-ya civic na e-ya somo la din
trigeminal said: Za masomo gan.? Click to expand... c-ya kiswahil ,c-ya biology,e-ya civic na e-ya somo la din